ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Habari Wakuu,
Nimekuwa na Shida Ya Kupata OTP number Kutoka Bank kuja kwenye Sim Card Yangu ya Tigo, Ninatumia Tigo nikiwa Nje ya Tanzania Baada Ya Kufanya ROAMING, Lakini Nakuwa napata Changamoto Ya Kupata OTP namba Kutoka Bank Iliyo Nitumia Namba.
Kama Kuna Msaada Wa kitu cha Kufanya Naomba Msaada Niweze kupata Hii SMS yenye OTP number.