Hakuna uwezekano huo kwa sasa. Zilikuwepo nafasi za wale wa Private lakini deadline imeshapita. Kiufpi komaa tu huko ulikopangiwa au ahirisha ili uombe DUCE/UDSM mwakani ila lazima uwe na at least C na D kwa masomo mawili
Kama kungekuwa na chance ungeenda chuoni then uandike barua ya kuomba nafasi, wangekupa barua ya kuwa wana-nafasi then uipeleke tcu kwa ajiri ya transfer.
Hapo kaka we komaa hukohuko walikokupangia maana tcu wanabana sana transfers coz kama ukupenda ulikopangiwa why uliomba kwenye selection za vyuo ulivyoomba