Msaada wa kupata mawasiliano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kupata mawasiliano

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Egongos, Jan 13, 2011.

 1. E

  Egongos Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Ndugu Wana JF

  Naomba msaada wa kupata contacts za Mh. Prof. Anna Tibaijuka, nataka kuwasiliana nae anipe appointment ya kuonana naye ofisini kwake.

  Niko kwenye harakati za kumsaidia mzee mmoja ambaye kiwanja chake kadhulumiwa na mjanja mmoja na amekwenda pale wizarani hajafanikiwa hata kumuona katibu mkuu wa wizara.

  Natanguliza shukrani zangu
   
Loading...