Msaada wa kupata mabaro mazuri.

Msaada wa kupata mabaro mazuri.

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,314
Jaman msaada, nina kaduka kangu ila naweka nguo za mtumba grade " A" nahitaj kupata mabaro ya aina zifuatazo za nguo.
1. Gaun ndefu na fupi,
2.sket fupi na ndefu
3. Skafu
4.mitandio
5. Simple coats
6. Makoti marefu.
N.k
 
Back
Top Bottom