Msaada wa kupata IMEI no

Msaada wa kupata IMEI no

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,427
Wakuu habari..

Kuna mtu anaweza kunisaidia kupata IMEI No, za cm yangu android

Maana siku Zi save popote... Na simu imeibiwa.. so nataka ku track nijue , ipo wapi, na nimpate aliye chukua.


Kama utaweza, naomba msaada, tutaangalia tunapozanaje

0742596431
 
Nenda polisi ndo wana hizo system ila tofauti na hapo sahau.
 
1. Nenda polisi-na pesa mkononi

2 Download find my device weka email na password ya Google ya simu iliyoibwa utapata details.
 
1. Nenda polisi-na pesa mkononi

2 Download find my device weka email na password ya Google ya simu iliyoibwa utapata details.
Work done, mkuu

Jamiiforum, ni zaidi ya pale udsm au udom
Screenshot_20230505-200807.jpg
 
Back
Top Bottom