Msaada wa kupata google adsense

yoassilas1213

New Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Waungwana naombeni msaada kuhusu jinsi ya kupata google adsens, nimejaribu wapi nimefwata masharti yao lakini mwisho wa siku nimeshindwa kujiunga plz mwenye ako na roho ya huruma anisaidie na utazidishiwa.

Asante.
 
Google ads uwaga wanamashart yao kama lugha unayotumia kwenye blog yako na contents zako unazoweka zinampangilio mzuri. Bila kufanya hivyo utaambulia kwenye kujiunga na matangazo ya google uyapati. Unaweza weka link ya blog/website yako nione kama kweli ni contents au ???
 
Mi nimefanikiwa jana bt ukiniuliza nilifanyaje hadi nimefanikiwa hata sijui
 
Ukifanikisha unitag na mimi au ulete mrejesho.
 
msaada hapa kwenye email washa confirmed ila niki login kwenye my adsence account inasema bado shida nn hapa
 
nimepata iyo email ambayo inasema wamesha review na nianze kuput ads sasa niki login inasema bado na email tayar washajibu shida nn hapa waungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…