A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Tafadhali naitaji msaada wa jinsi ya kuunganishwa na marafiki duniani kote
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Ushauri mzuri lakini ili kupata pesa lazima kuwa na marafiki au watu ilikufanikisha mipango yako ndgMsaada wa kuunganishwa na marafiki kote duniani ni wewe kuwa na jitihada za kutafuta pesa then hao marafiki watakuja wenyewe.
Ni hayo tu asante
sasa wewe unatka marafiki wengi kiasi hcho wakati huna hela ...kwa mpango wako huo utachelewa sana....Ushauri mzuri lakini ili kupata pesa lazima kuwa na marafiki au watu ilikufanikisha mipango yako ndg
Si Facebook IPO!Tafadhali naitaji msaada wa jinsi ya kuunganishwa na marafiki duniani kote
Natanguliza shukrani zangu kwenu