Mtini JF-Expert Member Apr 28, 2011 1,491 2,355 Feb 28, 2016 #1 Wadau nataka kuanza kuuza kahawa ya moto, nauliza wapi naweza kupata disposable paper cup
Heaven on Earth JF-Expert Member Mar 21, 2013 37,226 26,684 Feb 28, 2016 #2 Kariakoo mkuu...., karibu na sokoni kuna maduka mengi ya wapemba pale utapata
Mtini JF-Expert Member Apr 28, 2011 1,491 2,355 Feb 28, 2016 Thread starter #3 Heaven on Earth said: Kariakoo mkuu...., karibu na sokoni kuna maduka mengi ya wapemba pale utapata Click to expand... Asante sana kaka nashukuru ngoja nimtume mtu afuatilie maana mimi niko mikoani
Heaven on Earth said: Kariakoo mkuu...., karibu na sokoni kuna maduka mengi ya wapemba pale utapata Click to expand... Asante sana kaka nashukuru ngoja nimtume mtu afuatilie maana mimi niko mikoani