Msaada wa kupata diagnosis

Msaada wa kupata diagnosis

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Hello wa kuu za muda huu nimeshindwa kupata diagnosis kwenye hii case. Samahani kuna ili tatzo ana vipele vidogo vidogo kwenye corona grands penis ambavyo ni vidogo vidogo sana haviwash, wala havitoi maji,wala kuuma.

Vina zaid ya miaka 4 ila mwez wa kwanza alienda hospital wakamchukua damu na kumchunguza magonjwa ya zinaa aliambiwa hana ila walimpa cream(jina halijui na doxy) akatumia before vilikuwa vimezunguruka uume yaan eneo zima la corona grands ila kwa sasa vimepungua na vimepakia eneo la juu tu huku chin vimekauka na kupotea baada ya kuona hv alienda tena chukua dawa zile zile ambazo aliambiwa ila havikuweza kumaliza wala kupunguza hata kidogo kwenye hilo eneo lilobakia na vilianza baada ya wiki moja alipo fanya sex na mpenz wake wa kipind hiko i mean mpenzi wake wa mwaka 2017.

Kwa hayo maelezo mm nilikuwa nafikilia ni pearly penile papules sasa kanichanganya alivyosema ametumia doxy vimepungua. Nombeni msaada wa diagnosis if possible hata treatment kama ipo
 
Diagnosis yako iko sahihi kuwa makini na wagonjwa wanaptoshaga sana.

Wanakua na Illusions wakishatumia dawa, atakwambia dawa imemsaidia, kitu fulani kimepungua.

Otherwise huyo anaweza kuwa na inaleta Condyloma Latum ambayo ni Secondary Syphilis.Fanya VDRL kujiridhisha atakwambia walipima magonjwa yote ya zinaa..hiyo haina ukweli pia, mafikiri unaelewa nachomanisha e.g haiwezekani kuwa walimpa Lymphogranuloma Venerium...Hivo hiyo sentensi ni uongo mtupu.

Mwambie akuoneshe uume Warts haziwezi zunguka kichwa chote, na zitakua asymetrical ukikuta ziko asymetrical treat kama Syphilis baada ya VDRL.

Kama VDRL iko negative ma lesions ziko symetrical basi huyo ana Normal feature.

Pia, kama wewe ni muhudumu wa afya usipende share challenge kama hizi lwemye platform kama hizi.
Kuna Platform ambazo unakuta madaktari tu ni PM ntakuumga huko!
 
Back
Top Bottom