Msaada wa kupata Dealth Certificate

Msaada wa kupata Dealth Certificate

JOSEPHAT_07

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
319
Reaction score
195
Naomba msaada kwa aliewahi kuomba Dealth certificate online, nimefanya atua zote nimekwama hapa

Yanini nimeattach documents zzinazoitajia ikaleta control namba na nikalipia Tsh. 20,000 the inanipa maelekezo ni download form ni sign na kujaza tena then ni upload signed form.

Sasa kwenye ku download ndio inagoma, maombi nimeanza kufanya jana jioni
Msaada jamani kwa ambaye amefanya process hizi na akapata
 

Attachments

  • Screenshot_20251024-120309_Firefox.jpg
    Screenshot_20251024-120309_Firefox.jpg
    168.9 KB · Views: 16
Inagoma kwa sababu sio DEALTH ni DEATH 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Usiwe na mkono mfupi, kuna watu wanapiga hizo mishe.... within a day unapata hio certificate! Watafute

Kuanzia mambo ya Tra, leseni ya udereva, birth and death cert n.k ! Ukisema unafuata hatua zote unaweza kuzungushwa mwezi mzima
 
  • Thanks
Reactions: _ly

Similar Discussions

Back
Top Bottom