Nawasalim,
Nahitaji block ya engine ya Isuzu 4HG1. Kwa mafundi magari, au yeyote mwenye nayo au ambaye anaweza kunisaidia kuipata tafadhari msaada. Iwe nzuri ambayo haijawahi kuchongwa.