wakuu poleni na majukumu hivi karibuni nimenunua simu mpya ya OXE begin 101 shida ya hii simu betri haidumu chaji natafuta mbadala Wa betri yenye mAh kubwa zaidi ya hii ya sasa mAh 1400 nauliza naweza kupata betri hilo haijalishi ni kampuni ya simu za OXE kikubwa ifit katika simu yangu