msaada wa kupata best tutorial za computer online?

Simple on looking

Senior Member
Joined
May 27, 2014
Posts
100
Reaction score
34
Habari wakuu?. natamani sana kujifunza computer lakini kutokana na kukosa mda naomba muongozo wa vitu vya kujifunza as a beginer. Pia naomba msaada wa anayejua website ambayo naweza nikapa best tutorial ya hizo courses mbalimbali za computer.

Natanguliza shukran.......
 
je ni basic courses zipi ambazo naweza kuzisoma as a beginer wakuu.
 
ok namaanisha ile silsila nzima ya kuweza kuvisoma vitu vya msingi kwanza kama vile programming, typing, n.k nahis utakua umenielewa mkuu.naomba msaada wako wa mawazo
introduction t computer,ms word,ms excel,ms publisher,ms acces then internet.ukitak unamaliza na mentaenance
 
Anza na computer basic applications kwanza then computer softwares ndo uendlee na networking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…