Msaada wa kupata adaptor ya DELL LATITUDE 630C

Msaada wa kupata adaptor ya DELL LATITUDE 630C

TATIANA

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
4,695
Reaction score
2,449
naomba kuuliza ni mahali gani naweza kununua adaptor ya laptop aina ya dell latitude maana niliyonayo imeharibika. pia bei yake please.

ahsanteni.
 
nenda kariakoo kama uko dar, kuna maduka mengi from msimbaz had kongo yan panapouzwa laptop, bei ni elfu 35, 40 ziko full,, tafuta yenye njia 2
 
nenda kariakoo kama uko dar, kuna maduka mengi from msimbaz had kongo yan panapouzwa laptop, bei ni elfu 35, 40 ziko full,, tafuta yenye njia 2

Thx a lot.ngoja nitacheki
 
Back
Top Bottom