Tumia Microsoft Office, excel programNaombeni msaada wa kupanga matokeo ya wanafunzi kwa kutumia Division ama kama kuna software inayoweza kutumika nisaidieni
Kama unahitaji web based application keep in touch naweza kukufanya hiyo kaziNaombeni msaada wa kupanga matokeo ya wanafunzi kwa kutumia Division ama kama kuna software inayoweza kutumika nisaidieni
kote nimefanya changa moto zile pointFanya coding sasa
If the score 0-29=F
30-44=D
45-64= C
65-80=B
81-100 =A
Whareby A=1
B=2
C=3
D= 4
F= 5
And, point 7-17,division 1
18-22, division 2
23-25 division 3
26- 34 division 4
35= O (F= 5points times 7 subjects)