msuya4real
Member
- Oct 14, 2016
- 76
- 27
Naomba msaada wa kuondoa two step verification code kwenye WhatsApp ktk simu ya samsung J7 prime plus, Hii ni baada ya kurestore simu hiyo ambayo niliinunua kwa mtu ila aliyeniuzia sijachukua namba yake, Kila nikidownload ikifika htua ya mwisho inaihitaji pin za two step verification code na sizijui