Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,423
- 998
Wakati unasubiri solution download Parallel Space utumie WhatsappNaomba msaada wa kuondoa two step verification code kwenye WhatsApp ktk simu ya samsung J7 prime plus, Hii ni baada ya kurestore simu hiyo ambayo niliinunua kwa mtu ila aliyeniuzia sijachukua namba yake, Kila nikidownload ikifika htua ya mwisho inaihitaji pin za two step verification code na sizijui