adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
wataalam habari zenu
naomba msaada simu kila saa inaleta pop up katika screen nime disable kila kitu ila nikiwasha data tu zinakuja nikiclose baadae inakuja ingine saa ingine zinakuja hadi picha za pornografia naogoa hata mtu akishika simu yangu inaweza kumtokea.naomba msaada nifanyaje maana simu mpya haina hata wiki nafikiria niifanyie hata factory reset maana inaniboa sana