Msaada wa kunusuru ndoa yangu tafadhali

Peleka mzee pale kwa dokta mandai pande za ukonga mombasa ulizia dereva wa bodaboda pale watakpeleka ilo tatzo linatibika pale kuna dawa mjaharabu dawa kuntu, dawa za kung'amua ata vihemka visohemkika hahahah chezea
 
ukweli humuweka mtu huru daaa pole sana hizi ndio athari za kupishana miaka mingi ktk ndoa... ajabu mtu uko 20's saiv una date na mtu anaapproach 40 ni shida

Vibabu vingapi viko very active kuliko mnaojiita vidume vijana Bwan?👎
 
Vumiliaaa kwa kipind hik kigum, mmeo huenda huwa anakuwa na majuku mengi hivyo huchoka saana, au nakuulize je amenepa sana? Then unatkiwa upate muda wa kuzungumzia hilo swala
vile vile pray for him

Asante sumbai.naomba kila iitwapo leo!
 
pole xana, but ongea nae muende hospital ila pia supu ya pweza, karanga mbichi n msaada...
 
hahahaaaaa hapo nani kidume sasa huoni ID hiyo ama umevurugwa labda.... pole sana chepuka kama vip
 

Pole Ndio ukubwa huo. Hope u got a good advice
 
pole nadhani wamekushauri hapo juu kwani na yeye yupo jf af vunja ukimya
 
Mtengenezee balanced diet protein kwa wingi, muombee hapo kuna shida na jaribu kukaa nae umweleze unavyojisikia. Kama hana mchepuko basi ipo shida katika mwili wake
 
usichepuke..... mauhusiano mengi huwa yanaporomoka kutokana na kuwa kimya katika mambo yanayozorotesha mauhusiano kisa kinaweza ikawa uwoga au kuhisi kumkwaza mwenzako endapo ukimwambia.... Mdada hamna aliye perfect ndo maana mkawa wawili mtimize ambayo mmoja mmoja awezi... hivyo ongea nae mpe clear picture ... nauhakika ataelewa na kujitahidi kukutimizia haja za moyo wako...
 
Asante littlehulk.hiyo hatua ya kuongea tulishaipitia bila ufumbuz.
 

Kwani kabla ya kuona alikuwa anakugonga bao ngapi? Na ulikuwa unaridhika? Au ulipenda wallet ukaona ni heri ujihifadhi kw jamaa maana wanawake hapa mjini kuna kaumri fulani kakikufiki lazima utafute ndoa kwa nguvu zotw.
 
Kwani kabla ya kuona alikuwa anakugonga bao ngapi? Na ulikuwa unaridhika? Au ulipenda wallet ukaona ni heri ujihifadhi kw jamaa maana wanawake hapa mjini kuna kaumri fulani kakikufiki lazima utafute ndoa kwa nguvu zotw.

Majibu ya maswali yako yako kwenye thread acha prejudgment za kijinga.niliolewa wakati muafaka ha ha haas kapalamseng....
nina zaidi ya miaka 10 ya ndoa am approaching to mid 30'piga hesabu uone kama nimeolewa kwenye hizo judgement zako za kigoma!kalaghabao....

.
 
Fuata hatua stahiki za haswa lishe na mazoezi kwa mmeo ili arudi katika fomu zaidi imekula kwako, kama vipi chepuka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…