No inbox nikupe mawazo, achana na mchepukoSalaam kwenu wadau!nina ndoa ya miaka kumi,tangu niingie kwenye ndoa jamani sijafaidi tunda,naona kadri siku zinavoenda nahisi uhitaji hii huduma muhimu!kwa miaka yote hiyo nimekuwa mwaminifu sijawahi kuchepuka,lakini nowadays hitaji langu limo juu sana ninapata hamu ya kudo kuliko kawaida!niko kwenye mid 30's.huby yuko early 40's.muda wote tulioishi pamoja amekuwa hana hamu ya kudo kabisa,akijitahidi ni kamoja tu hawezi rudia tena'huko nyuma ilikuwa siyo ajabu kukaa hata miezi mi3 bila mgegedo,by that time haikuwa shida CJUI coz nilikuwa kwenye twenties sina uhakika.lakini siku hizi naumia sana kukosa dushe,mpaka nimekuwa na hisia za kutaka kuchepuka jamani,Mara chache yeye kuwa na hamu ili aina ze,na hili jambo ni kama halimpi shida,.naombeni mawazo yenu nifanye nini'coz sipendi kuchepuka!mume wangu tunapendana,tumejaliwa watoto 3. Jamani eeh tatizo la kupungukiwa nguvu lipo sana!msinibeze naombeni mawazo ya kunijenga.:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:asanteni ..uuuuwwwiii msaada wenu pliiiiiz
Pole subiria wazoefu wanakuja kukupa ushauri
Salaam kwenu wadau!nina ndoa ya miaka kumi,tangu niingie kwenye ndoa jamani sijafaidi tunda,naona kadri siku zinavoenda nahisi uhitaji hii huduma muhimu!kwa miaka yote hiyo nimekuwa mwaminifu sijawahi kuchepuka,lakini nowadays hitaji langu limo juu sana ninapata hamu ya kudo kuliko kawaida!niko kwenye mid 30's.huby yuko early 40's.muda wote tulioishi pamoja amekuwa hana hamu ya kudo kabisa,akijitahidi ni kamoja tu hawezi rudia tena'huko nyuma ilikuwa siyo ajabu kukaa hata miezi mi3 bila mgegedo,by that time haikuwa shida CJUI coz nilikuwa kwenye twenties sina uhakika.lakini siku hizi naumia sana kukosa dushe,mpaka nimekuwa na hisia za kutaka kuchepuka jamani,Mara chache yeye kuwa na hamu ili aina ze,na hili jambo ni kama halimpi shida,.naombeni mawazo yenu nifanye nini'coz sipendi kuchepuka!mume wangu tunapendana,tumejaliwa watoto 3. Jamani eeh tatizo la kupungukiwa nguvu lipo sana!msinibeze naombeni mawazo ya kunijenga.:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:asanteni ..uuuuwwwiii msaada wenu pliiiiiz
Pole sana
Zungumza na mwenzio
Kawaida mwanamke kadri umri unavyoenda ndio sex drive inaongezeka...tena hapo bado early 30? Subiri ufike 40 sasa....
Vunja ukimya mweleze mwenzio. Hukutoka kwenu kwenda kulala mzungu wa nne ulifata kifanyio.
Hata kama uwezo wake ni kamoja ila akupe mchezo wa haja goli la nguvu
Jaribu kuwaona wataalamu wa afya ukiwa mwenyewe,then uje umpe ushauri na kumueleza hisia zako.Lazima umbadilisha aje kwenye form ili mpate raha ya ndoa,miaka yake sio kigezo cha kushindwa sex,at least angekuwa mid 50 ningeona inawezakana kuwa na nguvu kidogo.Pia mshauri afanye mazoezi na kula natural food and fruits all the time.
Mpikie mumeo supu ya uyoga...supu ya pweza..juice ya ubuyu...juice ya komamanga cc Evelyn Salt..
hilo ni tatizo na linatibika kama wampenda mzaz mwenzako fanya juhudi za kutatua tatizo. Yawezekana ana magonjwa kama ambayo huwa yanapunguza hamu ya mtu kudu lakin pia ukosefu wa nguvu za kijinsia. Usichepuke ila tafuta suluhu ya kitabibu kwa mwenzako