Msaada wa kununua piki piki used

Msaada wa kununua piki piki used

Matanzia kizebazeba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
654
Reaction score
630
Habarini wakuu,
Kuna piki piki used nataka kununua je ni vtu gani vya msingi nivichunguze kwanza katika pikipik hyo kabla cjainunua
 
Tafuta Pikipiki yeyote yenye muundo wa CG-125
na hakikisha unaanza na Injini maana ni bei rahisi sana
  • Hub ya nyuma haifiki 30,000
  • Matairi yote ni muhimu yawe mapya @35,000
  • Mnyororo 8,000
  • Spoket 4,000 ya nytuma na 2,000 ya mbele
  • Wire complete wa pikipiki 10,000
  • vilivyobaki vyote @ ni 2,000 iwe indicator, cable za speed meter, clutch, brake
 
Owk asante sana kaka,
Je kwa piki inayouzwa Boxer Bm150 used u atakiwa uangalie mambo gan kwa makini na kuyachunguza kabla cjatoa pesa kuilipia?!
 
Na je bei ya injni ni bei gan mkuu?!
 
Hakikisha kwanza kuwa piki^2 hiyo ni salama kwani kuna jamaa yangua linunua akajikuta kwenye kesi kubwa sana. Kwani ilikuwa imeibiwa na yule aliyekuwa anaiendesha aliuawa, ilikuwa ni kazi kweli kweli kwani jamaa alikaa ndani miezi mitatu na jitihada kubwa ilifanywa ili kumnusuru jamaa huyo.
 
Na je bei ya injni ni bei gan mkuu?!
sina uhakika na Block au piston ya CG 125 ila ring-piston zake ni 6,000/= tu tena Genuine
Boxer jamaa yangu kwa huku Bara ni za kubeba abiria tu tena kwenye On Road tofauti na CG-125 zenyewe iwe Off Road (yaani pasipo na Lami au Tambarare) inapasua
Huko Ruvuma na Rombo mipakani nasikia wanazipenda sana SunLG, T-Better na nyinginezo hizi Bwana zinabeba mpaka 100kg na mwendo 120kph Boxer kwenye Off Road hawezi itakutupa na haibebi mizigo (kwanza haina carrier)
Kuna TOYO, T-Better mpaka za miguu 3 zina spea kibao
 
Asante mkuu sana
 
Hakikisha kwanza kuwa piki^2 hiyo ni salama kwani kuna jamaa yangua linunua akajikuta kwenye kesi kubwa sana. Kwani ilikuwa imeibiwa na yule aliyekuwa anaiendesha aliuawa, ilikuwa ni kazi kweli kweli kwani jamaa alikaa ndani miezi mitatu na jitihada kubwa ilifanywa ili kumnusuru jamaa huyo.

Sawa mkuu nimekuelewa ni kweli,
watu wengi wameingia matatizon na vitu vya used tuwemakini tu na ununuzi wa bidhaa hizi
 
Back
Top Bottom