Kama hafahamu jinsi ya kuagiza gari nje, ni bora akaenda kununua showroom, kwani kuna uhakika ananunua kitu anachokiona. Huko nje hata aagize vipi kwa ist ataokoa 2m au 1.5 kwa pesa hiyo ni kheri aepuke risk ya kuibiwa, na presha ya kufika kwa gariHabari zenu,
Naomba msaada kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuagiza gari nje, gari ndogo aina ya Ist, nimeulizia kwa makampuni ninayoyafahamu naona bei hazipishani na yard japo wanasema bei imepanda(17-18m)
Ooh asante sana nimekupata vizuri..Kama hafahamu jinsi ya kuagiza gari nje, ni bora akaenda kununua showroom, kwani kuna uhakika ananunua kitu anachokiona. Huko nje hata aagize vipi kwa ist ataokoa 2m au 1.5 kwa pesa hiyo ni kheri aepuke risk ya kuibiwa, na presha ya kufika kwa gari
Sawa sawaHiyo gari anunue hapo hapo huku akiiona mwenyewe kuagiza gari nje kuna ujanja mwingi sana na wauzaji wa nje wakigundua ni mgeni utauziwa wenyewe wanasema mbuchi kwako ni hasara kwao ni faida kwa sababu haukuweza kukagua vitu vya msingi kama wanavyofanya wauzaji wa yard..
Usijaribu kununua gari nje kama sio mtaalamu...
Ist pia hazina changamoto kama unanunua ndani na mpya isiyo na namba umiliki wa kwanza uwe wa kwenu sio iwe ishamilikiwa au namba tayari sijui unaambiwa ina E usichukue waanze kuisajiri kwenu..
Jibu kama la A.I vileHiyo gari anunue hapo hapo huku akiiona mwenyewe kuagiza gari nje kuna ujanja mwingi sana na wauzaji wa nje wakigundua ni mgeni utauziwa wenyewe wanasema mbuchi kwako ni hasara kwao ni faida kwa sababu haukuweza kukagua vitu vya msingi kama wanavyofanya wauzaji wa yard..
Usijaribu kununua gari nje kama sio mtaalamu...
Ist pia hazina changamoto kama unanunua ndani na mpya isiyo na namba umiliki wa kwanza uwe wa kwenu sio iwe ishamilikiwa au namba tayari sijui unaambiwa ina E usichukue waanze kuisajiri kwenu..
Ni akili mingi kwenye magari nipo JHB nimetumiwa picha nzuri ya Scania kutoka Durban kinachotakiwa ni kuchukua mwewe na kwenda kuangalia live..Jibu kama la A.I vile
Isome kwa makini message # 9Ni bora mtu anayenunua IST kuliko anayenunua Alphard, Noah, Voxy au Ractis
Tatizo lingine watu wanapenda kitonga sana, unataka upate kitu kizuri kwa gharama ambayo haina uhalisia. Kwa gharama ndogoIsome kwa makini message # 9
Watu wanapigwa hata na Be Forward
Mkuu Tanzania sio China nenda Arusha uone Noah Sr 40 kazi za Namanga Namanga zinavyokimbia na abiria miaka yote ndio usafiri wao ni gari imara kuhusu Alphard ndio gari zinazotumika kufanya transfer ya wageni kutoka KIA mpaka Arusha ni usd 70 mpaka 80 harafu upo hapa unaziponda...Ni bora mtu anayenunua IST kuliko anayenunua Alphard, Noah, Voxy au Ractis
Hajui kitu huyo, hamna gari inafanya biashara vizuri sasahivi kama alizotaja hapoMkuu Tanzania sio China nenda Arusha uone Noah Sr 40 kazi za Namanga Namanga zinavyokimbia na abiria miaka yote ndio usafiri wao ni gari imara kuhusu Alphard ndio gari zinazotumika kufanya transfer ya wageni kutoka KIA mpaka Arusha ni usd 70 mpaka 80 harafu upo hapa unaziponda...
Nzuri sanaNi akili mingi kwenye magari nipo JHB nimetumiwa picha nzuri ya Scania kutoka Durban kinachotakiwa ni kuchukua mwewe na kwenda kuangalia live..View attachment 3534522View attachment 3534524