Halafu mtu anatakiwa kula vyakula vya kutosha vyenye virutibisho mbalimbali, sio kutegemea vitamin E, A, kwenye Lotion zaidi, eat balanced diet, kilichopikwa kwa kiwango kinachofaa, sio mchicha mpaka unakuwa mweusi, kunywa maji ya kutosha, kisha use vipodozi vizuri utakuwa poa, pia epuka kukaa kwenye jua kali kw muda mrefu, mtoto wa kike tembea na kile kimwavuli kifupi cha kuweza kukaa kwenye handbag kama huna gari