wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Wakuu poleni na weak and!!!naombeni mwenye kujua kwa hapa dar ni wapi naweza kupata yule ndege anaetoboa mashimo kwenye gogo la mti mkavu!! Huyu ndege huwa ana kichwa kikubwa kidogo na manyoya ya kichwa ni ya rangi nyekundu na mgongoni anakuwa na madotidoti meusi kama ya kanga pori!!