Bodega
Senior Member
- Aug 10, 2013
- 179
- 288
😂😂😂Kuna mmoja wao pia yupo, anaitwa akwakwakwa
😂😂😂Kuna mmoja wao pia yupo, anaitwa akwakwakwa
Unataka wakupelekee moto?Habari za humu wana jamii nina shida ya kukutana na CHAABA na rafikiye DUDUKE naomba maelezo hasa ni vipi na wapi naweza kukutana nao hao watu?
Inasikitisha sana.Hii jamii ipe miaka 10 tu ijayo itakuwa kama wengine maana tuna viongozi wasiokuwa na maono.
Mtu anawatoa porini anawapeleka hotelini kula vyakula tofuti kabisa na walivyozoea unatgemea nni?
Serikali ipo ila imelala ipo macho kupiga dili tu
Sasa kuipeleka jkt si ndio kuharibu kabisa, we dudukwe umpigishe push-upInasikitisha sana.
Nakumbuka enzi za JK kulikuwa na wazo la kuwachukua akawapeleka JKT ili kuwasaidia kwenda na kasi ya dunia na kuwa na uwakilishi ila sasa sijui tumefikia wapi hapa, ni kama tunaihijumu hii jamii kwakweli.
Hahaha, sijui walichambua vipi mkakati wao ila nadhani ni pia ili wapatikane watumishi kwenye ile jamii.Sasa kuipeleka jkt si ndio kuharibu kabisa, we dudukwe umpigishe push-up
Masikitiko sanaInasikitisha sana.
Nakumbuka enzi za JK kulikuwa na wazo la kuwachukua akawapeleka JKT ili kuwasaidia kwenda na kasi ya dunia na kuwa na uwakilishi ila sasa sijui tumefikia wapi hapa, ni kama tunaihijumu hii jamii kwakweli.
Acha ujinga unataka wenzio waendelee kuishi kama nyaniHii jamii ipe miaka 10 tu ijayo itakuwa kama wengine maana tuna viongozi wasiokuwa na maono.
Mtu anawatoa porini anawapeleka hotelini kula vyakula tofuti kabisa na walivyozoea unatgemea nni?
Serikali ipo ila imelala ipo macho kupiga dili tu
Njoo unipitie haoa nilipo twende Meatu kwenye pori la kijiji cha Sungu!Habari za humu wana jamii nina shida ya kukutana na CHAABA na rafikiye DUDUKE naomba maelezo hasa ni vipi na wapi naweza kukutana nao hao watu?
Serikali ipi?Hakika kwakuwa kwa sasa hao jamaa content zao zinaingiza pesa Sana Ila wao hawajui Serikali ingetumia akili kuwalinda Kama vivutio vingine na wakawa wanakuwa benefited kupitia watalii wanaokuja kuwaona
🤣Umemletea live
Na ana dushee ya ela yote😆🫢Wewe ni jinsia Gani?Maana dudukwe anatafuta mchumba aoe