Msaada wa kujua ushuru wa magari bandarini (TRA)

waone jamaa wa phonex insurance wapo posta pale wana bei nzuri sana... ipsum 1998 cc huu mwaka wa 3 nalipia sh 300,000 comprehensive. upande wa 3rd part sijui rate zao zikoje.
 
Wanakamua mpaka kichefuchefu, issue ni hizo kodi wanazotukaba zinatumikaje? mtu unajibana kwa zaidi ya three years unakuja kulipa kodi halafu mtu mmoja anakula hiyo kodi kiulainiiiiiiiii
 
Nyamafu et al., nimepitia gariyangu.com na TRA RSP List ila nimeshindwa kundi la kuiweka hii gari. Naomba msaada wa kadirio la ushuru.
Jeep Grand Cherokee 2.7 CRD Sport 5dr Auto, 2700cc ya 2004
 
Last edited by a moderator:
Fungua mtandao wa TRA na utafute calculator then fuata maelekezo. Kwasababu hii gari ni ya mwaka 2004 pigia hesabu kwenye white colour. Na ukumbuke kwamba TRA wana Price list yao hivyo uchukue bei ya TRA TZ ndiyo uingize kwenye calculator usitumie hiyo CIF au FOB tuma model ya gari ili umeme ukirudi nikupigie hesabu.
 
:A S-confused1: Ndo mana Rais wangu Kikwete alisema foleni ya magari Dar ni uthibitisho kuwa uchumi wa mtz umepanda,akiwa na maana kuwa licha ya kukabwa hivyo lakini watu bado wana maheraaaa.......
 

Mkuu Nyamagu, naona wewe ni mtaalamu mzuri wa kufanya hizi calculation. Hebu nisaidie Toyota Landcruiser VX ya 2000 cc 4,160 ushuru wake utakuwaje?

Natanguliza shukrani.

Tiba
 
naulizia ushuru waToyota Harrier hybrid ya 2005 Fob $3,600...cc 2,400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…