Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi.
Nikapata kiapo cha mahakama pia loss report. Lakini pia nina original scanned soft copies. Sasa swala langu kuu ni kwamba nnataka kuanza kupata cheti kimoja kimoja. Sijui wapi pa kuanzia. Nakuja kwenu wanajamvi mnisaidie nin na wapi cha kufanya.
Vya secondary nenda NECTA watakupa utaratibu au tembelea kwanza website yao kuna masharti wameainisha ili kupata cheti mbadala. Note: Kama umemaliza chini ya 2008 hawatoi vyeti mbadala.
Vya secondary nenda Necta watakupa utaratibu au tembelea kwanza website yao kuna masharti wameainisha ili kupata cheti mbadala. Note: Kama umemaliza chini ya 2008 hawatoi vyeti mbadala.
Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi. Nikapata kiapo cha mahakama pia loss report. Lakini pia nina original scanned soft copies. Sasa swala langu kuu ni kwamba nnataka kuanza kupata cheti kimoja kimoja. Sijui wapi pa kuanzia. Nakuja kwenu wanajamvi mnisaidie nin na wapi cha kufanya. Asanteni in advance.
Report police, ukisha pewa lost report, nenda katangaze kwenye gazeti la serikali, ukisha maliza nunua gazeti hilo toa copy ya gazeti nenda NECTA, utapewa form utajaza na kulipia laki moja, utambatanisha na nakala ya gazeti,
Kitakuwa tayari baada ya miez 3 utajurishwa kwa simu, kazi imeisha.
Vya secondary nenda Necta watakupa utaratibu au tembelea kwanza website yao kuna masharti wameainisha ili kupata cheti mbadala. Note: Kama umemaliza chini ya 2008 hawatoi vyeti mbadala.
Report police, ukisha pewa lost report, nenda katangaze kwenye gazeti la serikali, ukisha maliza nunua gazeti hilo toa copy ya gazeti nenda NECTA, utapewa form utajaza na kulipia laki moja, utambatanisha na nakala ya gazeti...
N:B, hakikisha umetangaza kwenye gazeti na gazeti ndo wanatumia kama ushahidi kuja kutoa copy ya cheti kingine (mm ndo njia nilizo fanya na kupata duplicate ya cheti)
Hawatoi cheti mbadala kama cheti cha awali kilichopotea/kuungua hakikuwa na picha yako. Hivyo kwa kumbukumbu zangu wahitimu under 2008 vyeti vyao havina picha.