Msaada wa kujua salary scales za TANROADS

Activist yohan

New Member
Joined
Oct 22, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Samahani, naomba msaada wa kujua hivi viwango vya salary scales za TANROADS kwa pesa halisi ni sawa na Tsh ngapi? Mfano TRS 6.1, TRS 5.1, TRS 4.1, TRS 3.1 na TRS 2.1.

Kwa anayejua kiwango chochote kati ya hivyo ni sawa na Tsh ngapi anisaidie kujua.
 
unavouliza kama umeahidiwa kaz kitengo kumbe mbwembwe tu unasugua sana
 
Samahani, naomba msaada wa kujua hivi viwango vya salary scales za TANROADS kwa pesa halisi ni sawa na Tsh ngapi? Mfano TRS 6.1, TRS 5.1, TRS 4.1, TRS 3.1 na TRS 2.1.

Kwa anayejua kiwango chochote kati ya hivyo ni sawa na Tsh ngapi anisaidie kujua.
 
Samahani, naomba msaada wa kujua hivi viwango vya salary scales za TANROADS kwa pesa halisi ni sawa na Tsh ngapi? Mfano TRS 6.1, TRS 5.1, TRS 4.1, TRS 3.1 na TRS 2.1.

Kwa anayejua kiwango chochote kati ya hivyo ni sawa na Tsh ngapi anisaidie kujua.

TRS 5.1- 1,500,000/=
TRS 4.1 - 1,080,000/=
TRS 3.1- 720,000/=
TRS 2.1 SIJUI
 
Back
Top Bottom