Msaada wa kuipata App ya Good lock kwenye samsung

double click

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
569
945
polen kwa majukumu nilikuwa naomba kwa anaejua anielekeze ni vp nitapata app ya good lock kwenye samsung niko Tanzania...Hii app inapatikana kwenye baadh ya nchi.

Mwenye kujua naweza vip ku install kwenye simu naomba anisaidie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom