Msaada wa kuijua kozi ya Diploma in Auto-Electrical and Electronics Engineering inayotolewa NIT

J wizzy

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
458
535
Wakuu poleni kwa majukumu,

Naomba sana msaada wa kujua kuhusu kozi hii, maana nimejaribu kuingia kwenye website ya chuo cha NIT ili nipakue lakin prospectus yao nimeikosa kabisa hivyo nimeshindwa kujijua hii kozi kwa upana wake.

Diploma in Auto-Electrical and Electronics Engineering inayotolewa chuo cha NIT, inahusika na kitu au vitu gani hasa na muhitimu anakuja kufanya kazi zipi haswa?

Nina kijana wangu kachaguliwa na Tamisemi kwenda kusoma hii kozi, sasa yeye binafsi anapenda sana maswala ya umeme na elektroniksi tangu akiwa mdogo.

Tuliwaza na kukubaliana aje asome Diploma in Electrical and Electronics Engineering-MUST lakini kwenye hizi selection akachaguliwa kusoma Auto-Electrical and Electronics Engineering-NIT.

Msaada tafadhali wa kuijua hii kozi aliyochaguliwa.
 
Auto electric & electronics eng.
Kiufupi ni cozi unayohusika na ufundi umeme katika magari yaani kila kitu kilicho na umeme kwenye gari ndio ufundi wake upo kwenye cozi hiyo.
Kozi nzuri sana ukizingatia hivi sasa dunia inahamia katika mifumo ya umeme katika gari so ni chaguo bora...
Binafsi nimesoma kozi hii na sasa nipo kazini ila mimi nimesomea ATC(Arusha technical college) sijajua aina ya mafunzo NIT huenda yanapishana chuo na chuo, kwangu mimi ninashauri kama atakua ni mtu wa mapenzi na magari ni kozi marketable mnoo.
Practical studies ni muhimu sana hapa so afatilie katika chuo husika kama anaweza pata practical studies za kutosha ili kuwa compitent zaidii!!
 
Wakuu poleni kwa majukumu,

Naomba sana msaada wa kujua kuhusu kozi hii, maana nimejaribu kuingia kwenye website ya chuo cha NIT ili nipakue lakin prospectus yao nimeikosa kabisa hivyo nimeshindwa kujijua hii kozi kwa upana wake.

Diploma in Auto-Electrical and Electronics Engineering inayotolewa chuo cha NIT, inahusika na kitu au vitu gani hasa na muhitimu anakuja kufanya kazi zipi haswa?

Nina kijana wangu kachaguliwa na Tamisemi kwenda kusoma hii kozi, sasa yeye binafsi anapenda sana maswala ya umeme na elektroniksi tangu akiwa mdogo.

Tuliwaza na kukubaliana aje asome Diploma in Electrical and Electronics Engineering-MUST lakini kwenye hizi selection akachaguliwa kusoma Auto-Electrical and Electronics Engineering-NIT.

Msaada tafadhali wa kuijua hii kozi aliyochaguliwa.
Mwambie akasome. Ni kozi nzuri hasa kwa kujiajiri kama akiwa vyema kichwani.

Na kama akitaka kubadili ataenda kusoma pure electrical akifika degree.

Japo kama anataka kujiajiri sio ulazima wa kubadili anaweza endelea na automotive ya hapo NIT!
 
You are a genius bro
 
Ni kozi nzuri sana mwambie akasome. Baada ya miaka michache ijayo tunaenda kwenye kutumia magari yanayotumia umeme badala ya injini za mafuta. Chakusikitisha zaidi Mafundi injini wetu wa Tanzania karibia wote hawajui ya kwamba hawatakuwa na kazi tena baada miaka michache ijayo kutokana na kuanza kutumia magari ya umeme. Kitatokea kama ilivyotokea kwenye Uber na Taxi.
 
Mwambie aje ajee kwenye ulimwengu wa diodes na resistor,transistor
 
Kwa diploma sawa ila degree Automobile mhindi karakana yake analipa 400k kwa mwezi,wanangu wanaumia sana na hiyo kozi degree za NIT ila ukiwa competent kujiajiri wewe ni tajiri
 
Umeongea kiutani, watu watachukulia utani Ila ndo ukweli huo inabidi uwe competent Sana..na kwa vyuo vyetu ivi sijui?? Ni Kama ile mechatronics ya must Kila kitu wanafanya sawa na mechanical afu wakimaliza eti wao ni automation only..Cha kumshauri akitaka magari asome "mechanical engineering" IPT afanye kwenye sehemu zilizo deep kwenye mambo hayo mfano mantrac pale..ni vyema angeenda must Kama amepata electrical& electronics au aende mechanical
 
Bora mechanical Eng,kozi kongwe zina soko hasa Mech na Civil Eng hizo nyingine ni mateso sana hata kujiajiri
 
Umeongea kiutani, watu watachukulia utani Ila ndo ukweli huo inabidi uwe competent Sana..na kwa vyuo vyetu ivi sijui?? Ni Kama ile mechatronics ya must Kila kitu wanafanya sawa na mechanical afu wakimaliza eti wao ni automation only..Cha kumshauri akitaka magari asome "mechanical engineering" IPT afanye kwenye sehemu zilizo deep kwenye mambo hayo mfano mantrac pale..ni vyema angeenda must Kama amepata electrical& electronics au aende mechanical
Naongea simple sababu mi ni shahidi wa kozi nzuri jina ambalp ukimwambia mtu anakuona ni milionea ujae ila sasa bongo hailipi upo sawa na ambao hawajaenda chuo
 
Back
Top Bottom