Msaada wa kuichakachua MODERM ya zantel

Msaada wa kuichakachua MODERM ya zantel

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
Wakuu kwa wale wataalam na wenye maujanja na maujuzi ya kuchakachua modem nilikuwa naomba msaada wa kuichakachua hii moderm ya zantel HUAWEI CDMA
model EC 122 ili niweze itumia na line nyingine.

Ingawa moderm hii haitumii line lakini kuna sehem ya kuchomeka line.

Naomba msaada wenu wataalam.
 
Back
Top Bottom