Msaada wa kuhusu uhamisho

Msaada wa kuhusu uhamisho

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Posts
1,259
Reaction score
319
Habari wanajukwaa. Mimi ni mwalimu wa sekondari ambaye kwa sasa niko likozo ya masomo. Je kuna utaratibu wa mtu aliyeko masomoni kuweza kuhama kituo cha kazi akiwa bado na likizo ya masomo? Nataka kuhamia wilaya nyingine ila mkoa ule ule.
Ahsanteni.
 
Mkuu iyo process nadhan unaweza kuifany vzur ukiwa tayar umeshamaliza likizo yako ya masomo ila kidog inachukua muda
 
We nenda ktk ofs ya mkurgnz wako watakupa taarfa dahh cyo kila kitu lzm uulize mana hapa utapotoshwa
 
Back
Top Bottom