Msaada wa kuhusu ucc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kuhusu ucc

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NGOGO CHINAVACH, Nov 1, 2011.

 1. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  WanaJF kuna mdogo wangu amemaliza form four sasa kipindi hiki anasubiri matokeo niliona ni bora akapige short course pale UCC ila sijajua ni course gani nzuri amabayo itamsaidia maishani kwake, msingi wa computer anajua i.e kutumia appliactions, kurun program!!!!!NAOMBA KUJUZWA NI SHORT COURSE GANI NZURI
   
 2. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,059
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Logg on and logg off computer inaelekea dogo haelewi hili!
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  watu wengine bwana!!! Nenda pale upate information au tembelea website yao. Ebo.
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  fungua web yao mdau. Wameandika kila kitu.
   
 5. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Sasa kosa lake ni kuuliza au?? Kuwa mstaarabu, kama hukuwa na la kumshauri ungeufyata tu. Grow the f*k up
   
 6. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Kama anajua applications za computer basi sio lazima akasome ucc may be kama ana interest ya kuwa professional wa computer,ila kwa ushauri angeenda kusoma masomo ya combination alioichagua ili akianza kidato cha tano mambo yawe ya kawaida na atajiakikishia kufaulu vizuri.
   
Loading...