Msaada wa kufungua maabara

magai majigo

Member
Sep 19, 2016
76
27
Naombeni kujuzwa jinsi ya kufungua maabara kwa ajili ya kupima malaria, mkojo, na haja kubwa.
Pia naomba kujua gharama za vifaa vinavyohusika na mtaji wote kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom