Kila la kheri mkuumimi nalenga kufanikiwa
Mkuu umesha pata roho mtakatifu au bado utampatia huko huko?Salaam wote
Nataka nifungue kanisa wakuu church and charity that helps many out there...
tupeane code wawakilishi wa makanisa ya kiroho, nataka niwafundishe watu wa mungu mambo mengi mazuri nikiwa mteule na kiongozi, nipo kwa ajili ya kuongoza watu walio wekwa vizuizini.
Kama kuna vibali na procedures za kuanza naombeni mwongozo wenu nyie watoaji vibali, bodi inayothibitisha makanisa ya kiroho.
Kanisa langu litalenga kusaidia wasio jiweza matatizo madogo madogo, nitatoa chakula, fedha kidogo za kujikimu, there we go....mimi nalenga kufanikiwa na kusaidia wengi.
Nipo dar es salaam
Utalazimika kuwaona ma-freemason kama huna lengo la dhati la kufungua kanisa la kumtumikia YESUS KRISTO. Uwe tayari "kufanikiwa" lakini utaipoteza roho yako.Salaam wote
Nataka nifungue kanisa wakuu church and charity that helps many out there...
tupeane code wawakilishi wa makanisa ya kiroho, nataka niwafundishe watu wa mungu mambo mengi mazuri nikiwa mteule na kiongozi, nipo kwa ajili ya kuongoza watu walio wekwa vizuizini.
Kama kuna vibali na procedures za kuanza naombeni mwongozo wenu nyie watoaji vibali, bodi inayothibitisha makanisa ya kiroho.
Kanisa langu litalenga kusaidia wasio jiweza matatizo madogo madogo, nitatoa chakula, fedha kidogo za kujikimu, there we go....mimi nalenga kufanikiwa na kusaidia wengi.
Nipo dar es salaam
Kama una lengo la dhati basi mtafute mtumishi wa kweli wa Yesu Kristo atakusaidia, lakini fanya maombi makubwa sana kujua mapenzi ya Mungu kwako na kuomba kibali cha kufanya utumishi huo vinginevyo unaweza kupata shida kubwa kwabi vita yake ni kubwa mno.Fremason kwani ni lazima wao au
Kwahiyo muambie huyu roho mtakatifu wako akuonyeshe jinsi ya kufungua kanisa, au roho mtakatifu wako hajui dar es salaam[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7]Nipo kwa hisani ya roho mtakatifu.
Na shughuli nyingi, unaweza pata huyo baba wa kiroho na ukashindwa saidia watuMeans Hujaitwa, kama Ungeitwa usingekuja hapa...!
Means huna Baba wa kiroho, hujalelewa, hujafundishwa na Wachungaji wazoefu juu ya huduma, coz ungekua na Baba wa kiroho usingepoteza Muda kuja kuuliza hapa.
Jaribu kutafuta Shughuri nyingine ya kufanya.
Sawa kiongoziKama una lengo la dhati basi mtafute mtumishi wa kweli wa Yesu Kristo atakusaidia, lakini fanya maombi makubwa sana kujua mapenzi ya Mungu kwako na kuomba kibali cha kufanya utumishi huo vinginevyo unaweza kupata shida kubwa kwabi vita yake ni kubwa mno.