Msaada wa kufungua jarada la kesi kwa mary chatanda

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Sijui huyu mama anatoa wapi jeyri hii yote,mtiririko wa sakata zima la matukio ya arusha yapo mgongoni mwake kama muhisika mkuu,bado anaendelea kutoa kauli tata na kufanya mambo kana kwamba yeye yupo juu ya kila kitu.
Hivi ni jinsi gani twaweza kumshughulikia huyu mama kisheria ili aweze kupotea kabisa katika uso wa jamii yetu?

Anakera sanaa!!!
 
Back
Top Bottom