Msaada wa Kufungua Iphone (Icloud) Baada ya Kuformat

Salaam

Nilinunua Iphone 6 cha mkononi, yumkini niliweka Icloud na bahati mbaya simu ikakorofisha, kuoeleka kwa fundi akaifrimat na ikaanza kuniuliza nywila ya Icloud

Nimehangaika hadi kwa aliyeniuzia lakini imeshindwa kufungua ni ninayi kama UREMBO TU

Tafadhali mwenye ushauri wa jinsi ya kuifungua ama ambaye ameoitia uzoefu huu anisaidie

shukrani sana
 
Kama kweli ni ya kwako basi angalia basi nenda kwenye icloud.com nenda then click sehemu ya foeget you password. Watakuuliza maswali ya mwanzo halafu watakupa sehemu ya kureset.

Ila kama simu sio yako ni ya wizi naomba niseme hakuna njia yeyote hapo. Cha msingi hiyo simu uza kama spare parts. Usiiwashe ikawa online utakamatwa mapema sana.
 
nina uhakika wa 100% chief!nilipigwa 6s+ wakabdilisha brain ile kurudi home nakuta ina icloud akaunt ambayo siijui!
Narudi kwa fundi akakomaa hajabadili!
Nikasema poa,Nikamtuma mdogo wangu aende na 6 ajifanye mbovu!Ila tukiwa na sie tumeilock icloud,so abadili fasta baada akaja mwambie dogo rudi nimesahau kitu!Dogo hakurudi!!
Tunaixhek home tukakuta wameshabadili brain,kwa account yennye jina lingine!na alimuita dogo baada ya yeye kuona pia ile brain aliyotubadilishia ilo icloud locked!
Keshokutwa tukachukua Pira(Polisi) wa Msimbazi mpaka Pale nikarudishiwa vyote na nikamlaza polisi!!
So akatuambia mbinu wanazotumia kuwapiga watu wenye iphone wakienda tengeneza!!
Ni hayo tu mzee kariakoo au fundi yoyote atakayeigusa Iphone yako inabidi uwe makini 100% ikibidi usiunlock Icloud!!
Ni hayo tu
 
Pole sana ila bado haujaumalizia uzi wako. Inabidi utupe hizo mbinu wanazotumia mafundi uchwara ili tujiepushe tunapopeleka iphone zetu kwa fundi
 
Mimi ndio maana apple id yangu na password nilijitumia kwenye email yang ili just incase ikazingua nitakua na backup
 
Haiwezi kutoka mpaka nwenye simu aweke password.
Kabla ya kununua simu yoyote second hand kumbuka kufanya reset/format mbele ya mwuzaji iCloud haitoki na baadhi ya simu za Android zina feature kama hiyo ambayo haitoki.
Ilikuwa Samsung s6 mpya ikajilock second
 
IMG_2968.JPG

Jamaniii msaada Tafadhali
Nimeona niunganishe na hii Thread muhusika utanisamehe Tafadhali..

Guys simu yangu ina tatizo la kujizima automatically Data kwenye App za WhatsApp & Instagram.
Nikiwasha Data Kisha nikiwa nawasha kwa kila App (watumiaji wa IPhone) mtakua mnanielewa) sasa hili kuiruhusu sasa itumie Data nakuta imejizima (data) kwenye App husika automatically, Ila kwenye app zingine kama Twitter & JF hazina shida kabisa nimejaribu utundu na utaalam wote nimeshindwa nifanyeje wakuu, Naomba mnisaidie Tafadhali ni IPhone 6 ...
 
nina uhakika wa 100% chief!nilipigwa 6s+ wakabdilisha brain ile kurudi home nakuta ina icloud akaunt ambayo siijui!
Narudi kwa fundi akakomaa hajabadili!
Nikasema poa,Nikamtuma mdogo wangu aende na 6 ajifanye mbovu!Ila tukiwa na sie tumeilock icloud,so abadili fasta baada akaja mwambie dogo rudi nimesahau kitu!Dogo hakurudi!!
Tunaixhek home tukakuta wameshabadili brain,kwa account yennye jina lingine!na alimuita dogo baada ya yeye kuona pia ile brain aliyotubadilishia ilo icloud locked!
Keshokutwa tukachukua Pira(Polisi) wa Msimbazi mpaka Pale nikarudishiwa vyote na nikamlaza polisi!!
So akatuambia mbinu wanazotumia kuwapiga watu wenye iphone wakienda tengeneza!!
Ni hayo tu mzee kariakoo au fundi yoyote atakayeigusa Iphone yako inabidi uwe makini 100% ikibidi usiunlock Icloud!!
Ni hayo tu
asante
 
MSIHANGAIKE MTU MWENYE I PHONE IMEMSHINDA ANITUMIE IMEA NAMBA MATATIZO YOTE NITAYAMALIZA UJUZI HUO NIMESOMEA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom