Nishatoa mkuu nimesema mil 4Poa nimekuelewa sasa toa kiasi cha pesa unachofikiria kutaka kukitumia wazoefu wakupigie budget stahiki
Sawa mkuu na nashukuru pia haya nipe ushauri sasa mkuu nifanyaje na hiyo mil 4Mkuu hongera kwa kuamua kuiaga kambi yetu
Ahsante mkuu kwa ushauri wako hii ndoa itafanyikia mkoa wa ruvumabuget yako ndo itakuguide
location
vinywaji utakavyovitaka
vyakula utakavyotaka
decoration
Mc unayemtaka
kaka unatokea mkoa gani coz kama ni northern zone jiandae kulaumiwa bora uifanyie mjini
Ahsante mkuu nimekupata vizuri sana kwa mchanganuo wako kuhusu swala la usafiri ni nje ya mil 4kwa ukumbi kwa lakitano hiyo mlion 4 inatosha sana vinywaji na chakula kwa watu 100 ndo vitakucost km milion 2 mc na mapambo laki 4 camera video picha na muziki kama laki 6 milion 4 imeisha hapo bado usafiri sasa km ukitaka itoshe bania kwenye msosi upate ela ya usafiri au ongeza kidogo pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nipo nje ya nchi sasa hadi nirudi naona muda utakua umeenda sana sasa niliona watu kunichangia itakua shida kidogoYaan nn utuzalau hutaki tuchange?? Kwaiyo umeamua kuita watu wachache tusile ubwabwa??
Acha uchoyo tuna pesa zetu hiyo hali unayoisema tz sisi haituhusu tutakuja na mbege zetu
unalinga wewe mtoto wa massawe hii haikubaliki
ahaaa mkuu natania nawaza kama unatokea huku kwetu kolomije inavyokuwa. Watu wana mind sana.
Sijawahi kuoa mkuu ndo mara ya kwanza naoa na ndo huyo huyo ninaemuoahaka katoto kanatucholesha hapa maana mda sio mrefu leo anaoa? Tena mkristo??
Yaani.. hadi mdomo wangu umebaki wazi..[emoji47] [emoji47]haka katoto kanatucholesha hapa maana mda sio mrefu leo anaoa? Tena mkristo??
sasa ndugu uko c ujiachie tu uwanjani na wanakijiji wenzako sufuria 3 za pilau na soda creti 10 watakukumbuka milele buget nyingine iamishie kwenye kuvunja kamati mfanye mambo ya kizungu be proud na mambo ya home uwe na memory nzuriAhsante mkuu kwa ushauri wako hii ndoa itafanyikia mkoa wa ruvuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo itakua sio nzuriiisasa ndugu uko c ujiachie tu uwanjani na wanakijiji wenzako sufuria 3 za pilau na soda creti 10 watakukumbuka milele buget nyingine iamishie kwenye kuvunja kamati mfanye mambo ya kizungu be proud na mambo ya home uwe na memory nzuri
na kwenye post yako hapo juu ulopost jan huyo ulomuita mke ni nani??Sijawahi kuoa mkuu ndo mara ya kwanza naoa na ndo huyo huyo ninaemuoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kaka kwa ushauri wakoHapo kaka unahitaji kutulia mkiwa watu wa 5# mpangilie utapata jibu sasahih zaid
Sent using Jamii Forums mobile app