Kila la heri mkuuNdugu zangu natarajia kufunga pingu za maisha mwenzi wa 12 na maandalizi ya sendoff ya mama watoto wangu yashaanza...twende kwenye point kama nilivyosema hapo juu ila nataka kufunga hii ndoa bila ya mchango wowote ule kutoka kwa marafiki na jamaa (mchango wa pesa) ila nitagawa card za mwaliko na hizo kadi nataka ziwe 100 kwa maana hiyo ndoa yangu nataka iwe na watu 100 tuu sababu ya kufanya hivi ni kwamba nipo mbali na nyumbani yaani tanzania na natarajia kurudi mwenzi wa 11 kwahiyo nimeona kuwaambia watu wakuchangie kwa mwenzi mmoja kwa hali iliopo sasahv tanzania ni shida..Sasa kwa wenye uzoefu na mambo haya naomba mniambie na mnipe ushaurii hapa....sherehe ya watu mia inaweza kugharimu shilingi ngapi?? Ni harusi ya kawaida tuu...msaada tafadhali kwa wazoefu natanguliza shukrani za dhati kwenu asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu ila kama unadhoefu na haya mambo unaweza kunishaurii pia
Mkuu sina idea kwa hilo...maana hapo kukisia hivi hivi ni ngumu kidogoNashukuru mkuu ila kama unadhoefu na haya mambo unaweza kunishaurii pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu..kwa vitu ambavyo naviitaji ni usafiri,,chakula,,vinywaji na ukumbi nadhani hivyo muhimu mkuu swala la mavazii hilo lipo nje ya hiv vitu nilivyovitaja hapaMkuu Sana hongera,
Mimi sio mtaalamu wa haya mambo lakini kwa harakahara ili uwasaidie wanajukwaa kukupa ushauri, lazima utuambie kwanza unataka nini na nini mfano; chakula
Vinyaji, is it cocktail au royal wedding nk.
Lakini pia kuna event planners nadhani wanaweza kukusaidia.
Nawasilisha.
Ahsante,,,,,,mimi nilijipanga kwa mil.4Harus ni Pesa Yako kwetu uswaz hata million Mbili Inatosha, ila wewe Mwenyewe Ndio useme umejipangaje Ndio watu tukuchambulie vizur (umepanga iwe ya budget ya sh ngap)
Ndoa ya imani gani.
Yaani hiyo harusi kama haina ulevi ukinialika siji, nani aje kunywa juice... HalooooBudget ya million 4
Chakula unatafuta catering ya bei rahisi sahan 10000 jumla 1 mil
Mc na music unatafuta chini ya laki 3 wapo.
Ukumbi usizid 500000
Vinjwaji pombe Usiweke, budget ya Vinjwaji laki 3 na champagne ikiwepo
Ukumbi mapambo usizid Lak 3
Cake ya Lak 1
Still picture na video budget isizd Lak 5
Kipi Nimesahau.
Hapo inategemea mavaz ya bibi Harus,saloon na wewe Mwenyewe IPo hapohapo au pemben
Asante sana kwa ushauri wako kuhusu mavazi ni nje ya hapo nakushukuru sana kwa ushauri wakoBudget ya million 4
Chakula unatafuta catering ya bei rahisi sahan 10000 jumla 1 mil
Mc na music unatafuta chini ya laki 3 wapo.
Ukumbi usizid 500000
Vinjwaji pombe Usiweke, budget ya Vinjwaji laki 3 na champagne ikiwepo
Ukumbi mapambo usizid Lak 3
Cake ya Lak 1
Still picture na video budget isizd Lak 5
Kipi Nimesahau.
Hapo inategemea mavaz ya bibi Harus,saloon na wewe Mwenyewe IPo hapohapo au pemben
Andaa 2 millions zatosha kuaccomodate hao watu 100.Nashukuru mkuu..kwa vitu ambavyo naviitaji ni usafiri,,chakula,,vinywaji na ukumbi nadhani hivyo muhimu mkuu swala la mavazii hilo lipo nje ya hiv vitu nilivyovitaja hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtanzania mkuu tena ni mchaga kabisaHiyo sherehe unataka kuifanyia wapi. na jee huyo unae muoa ni mtanzania ama?
Mara nyingi harusi za watu ambao sio watanzania mara nyingi huwa hawashangishani.
Niliwahi kushuhudia harusi moja, mdada alialika marafiki zake kutoka US, sasa wakati harusi inaendelea MC akatangaza ni mda wa kutoa zawadi, akaanza kuita watu. bibi harus alipigwa na butwa kwani hakutegemea.......
Vinywaji vipo mkuu ukisoma vizuri post yake ameweka na vinywaji paleYaani hiyo harusi kama haina ulevi ukinialika siji, nani aje kunywa juice... Haloooo
Asante mkuu ila ungefanunua hapo mkuu kwa mil 2 inawezekana kweli?Andaa 2 millions zatosha kuaccomodate hao watu 100.
Umechangia?Yaani hiyo harusi kama haina ulevi ukinialika siji, nani aje kunywa juice... Haloooo
Inategemea na mazingira na huo ukawaida unaousema.Nashukuru mkuu ila kama unadhoefu na haya mambo unaweza kunishaurii pia
Sent using Jamii Forums mobile app