Msaada wa kueleweshwa usawa kati ya postgraduate na degree

Msaada wa kueleweshwa usawa kati ya postgraduate na degree

My question is je anaweza ku diversify na kusoma MA International relations au anatakiwa kwanza afanye PGD ya International Relations then aje afanye MA???? Naomba kujuzwa
Unless kwenye BA Economics alikuwa na course inayohusiana na IR; anatakiwa asome kwanza degree ya International Relations kabla ya kusoma Masters yake.
 
Unless kwenye BA Economics alikuwa na course inayohusiana na IR; anatakiwa asome kwanza degree ya International Relations kabla ya kusoma Masters yake.

Ndo nauliza je baada ya BA Econ, anaweza akanya PGD - IR pale Kurasini mwaka mmoja then akawa ame qualify kufanya MA - IR?
 
Ndo nauliza je baada ya BA Econ, anaweza akanya PGD - IR pale Kurasini mwaka mmoja then akawa ame qualify kufanya MA - IR?
Mbona nimekujibu Mkuu, au Lugha inakusumbua? 😉

Kama kwenye BA Economics alisoma IR kama somo au course, yes, anaweza kufanya Masters yake.

Lakini, kama hakusoma chochote kuhusu IR kwenye hiyo BA Economics yake anapaswa kuanza na degree ya kwanza ya IR kabla ya kusoma Masters yake.
 
Mbona kwenye maelezo yako haungolei kabisa Posta Graduate Diploma ya IR ambayo nilidhani ingemsaidia ku diversify???
 
Nadhani umenena vema ila ninaomba kueleweshwa vizuri zaidi either kama ni wewe au mwengine yeyote mwenye uelewa zaidi.

Nina mdogo wangu kamaliza BA- Economics ila yeye ana interest sana ya kazi za Diplomacy/International Relations. Wazazi wake wana uwezo wamemshauri asome pia elimu ya International relations kwani umri wake pia bado ni mdogo. My question is je anaweza ku diversify na kusoma MA International relations au anatakiwa kwanza afanye PGD ya International Relations then aje afanye MA???? Naomba kujuzwa
Akafanye PGD ya economic diplomacy, akitoka hapo anaweza Fanya MA international relation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kwenye maelezo yako haungolei kabisa Posta Graduate Diploma ya IR ambayo nilidhani ingemsaidia ku diversify???
Anaweza akasoma Diploma ya IR. Siiti post graduate kwa sababu kitu anachotaka kukisoma hana foundation ya degree yake ya kwanza.
 
Angekuwa amesoma first degree inayohusiana na IR, halafu akataka kusoma diploma ya kitu kinachohusiana ndio tungeita Post graduate diploma.

Ndio maana nilikuuliza kama kwenye hiyo BA Economics kuna course au somo lolote alisoma linahusiana na IR. Angekuwa alisoma course yoyote inayohusiana ndio tungeita Post graduate diploma au Masters degree.

Ni sawa na kusema mtu asome degree ya ualimu halafu akitoka huko aje asome diploma ya nursing halafu eti uiite Post graduate diploma!!! Sio sahihi.

Lakini kama mtu amesoma MD halafu akaja kusoma diploma ya kitu chochote kinachohusiana na medicine; hiyo itakuwa sahihi kabisa kuitwa Post graduate diploma.

Kwahiyo ili tuiite post graduate tunaangalia kama una foundation degree ya kitu husika.
 
Sio kila Postgraduates ni masters...Kimsingi yule ambaye amesomea Degree ya fani husika anakua amekuzidi vigezo
.Endapo wewe umesomea degree tofauti halafu ukawa na postgraduate ya iyo fani yenye kutangazwa ajira..Kwako ww unakua na sifa ya ziada ya kukupa vigezo ili ufanane tu na yule mwenye degree husika..Ila mwenye sifa ya msingi ni yule mwenye degree ya fani husika..Nimejaribu tu🙏
 
Naomba kufahamu usawa uliopo Kati ya postgraduate na degree yaani Kama kunakazi unahitaji kigezo Cha degree alafu Mimi nina postgraduate je naweza kuomba?
Unaweza kuomba..Lakini ili ushindane vizuri ungeongeza na sifa Masters..Hapo akija mwenye degree husika umemshinda vigezo..Ila inategemea na iyo Degree tajwa katika ajira...Sio kila Degree unaweza kuishinda vigezo kupitia postgraduate
 
Naomba kufahamu usawa uliopo Kati ya postgraduate na degree yaani Kama kunakazi unahitaji kigezo Cha degree alafu Mimi nina postgraduate je naweza kuomba?
Kimsingi ni chochote kinachofatia baada ya digrii ya kwanza it could be certificate, diploma, masters or even PhD!!
 
Nadhani umenena vema ila ninaomba kueleweshwa vizuri zaidi either kama ni wewe au mwengine yeyote mwenye uelewa zaidi.

Nina mdogo wangu kamaliza BA- Economics ila yeye ana interest sana ya kazi za Diplomacy/International Relations. Wazazi wake wana uwezo wamemshauri asome pia elimu ya International relations kwani umri wake pia bado ni mdogo. My question is je anaweza ku diversify na kusoma MA International relations au anatakiwa kwanza afanye PGD ya International Relations then aje afanye MA???? Naomba kujuzwa
Inategemea na entry requirements za hiyo Masters programme kama mtu mwenye BA Economics anafit lkn ikiwa haingii moja kwa moja basi anashauriwa afanye postgraduate dip ya International relation mwaka mmoja then anajiunga na masters hiyo. Maeelezo mengine ya kina nakushauri ufike chuoni office za admission.
 
Back
Top Bottom