Samboko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2011 Posts 5,417 Reaction score 8,047 Aug 24, 2018 #1 Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za anaedukuliwa? Naombeni msaada wakuu, maana nahisi nadukuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu, Kuna uwezekano mtu akahaki taarifa za mawasiliano ya simu ya mkononi hata kama ukireset simu na kuondoa app zote za kudownload pamoja na email na bado akaendelea kupata taarifa za anaedukuliwa? Naombeni msaada wakuu, maana nahisi nadukuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
golwebo_mkuu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 2,270 Reaction score 693 Aug 24, 2018 #2 Uwezekano upo. Kudukuliwa sio kwenye App tu. Sent using Jamii Forums mobile app
golwebo_mkuu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 2,270 Reaction score 693 Aug 24, 2018 #3 itnojec said: Uwezekano upo. Kudukuliwa sio kwenye App tu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tupa hyo simu na line yake. Anza upyaa Sent using Jamii Forums mobile app
itnojec said: Uwezekano upo. Kudukuliwa sio kwenye App tu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tupa hyo simu na line yake. Anza upyaa Sent using Jamii Forums mobile app
Samboko JF-Expert Member Joined Oct 30, 2011 Posts 5,417 Reaction score 8,047 Aug 24, 2018 Thread starter #4 itnojec said: Tupa hyo simu na line yake. Anza upyaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hakuna namna ya kuweza kuflash kutoa hizo setting za kudukuliwa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
itnojec said: Tupa hyo simu na line yake. Anza upyaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hakuna namna ya kuweza kuflash kutoa hizo setting za kudukuliwa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app