Nilikuwa naomba msaada wenu napenda sana kusoma vitabu hasa motivation books lakini nashindwa jinsi ya kuvidownload kwenye laptop... Naomba msaada wa website zinazotumika kudownload vitabu au ni program gani itakayonisaidia kudownload vitabu?
hapo unagoogle tuu mkuu jina la kitabu,kwa kutumia browser eyote.mfano unataka kitabu cha rich dad...unaingia google unaandika rich dad download pdf.vema ukataja majina au vitabu unavohitaji,mfano mimi ninavyo vingi tuu nimedownload kwa njia hiyo so naweza kukusaidia.ila pia kuna website zngne special kwa ajili ya ivo watakuja wanojua wakupatie....