Msaada wa kudownload vitabu kwenye laptop yangu

Binman

Member
Jul 17, 2016
68
30
Halow wana jf,,

Nilikuwa naomba msaada wenu napenda sana kusoma vitabu hasa motivation books lakini nashindwa jinsi ya kuvidownload kwenye laptop... Naomba msaada wa website zinazotumika kudownload vitabu au ni program gani itakayonisaidia kudownload vitabu?
 
hapo unagoogle tuu mkuu jina la kitabu,kwa kutumia browser eyote.mfano unataka kitabu cha rich dad...unaingia google unaandika rich dad download pdf.vema ukataja majina au vitabu unavohitaji,mfano mimi ninavyo vingi tuu nimedownload kwa njia hiyo so naweza kukusaidia.ila pia kuna website zngne special kwa ajili ya ivo watakuja wanojua wakupatie....
 
Unataka vitabu na ni msomaji kweli?

Naweza kukutumia idadi ya kutosha kuanzia inspiration,life skills na masuala ya kiroho.
Tuwasiliane.
 
Unataka vitabu na ni msomaji kweli?

Naweza kukutumia idadi ya kutosha kuanzia inspiration,life skills na masuala ya kiroho.
Tuwasiliane.
Mkuu nimependa sana vitabu vyako ningependa na mimi unitumie niapate maarifa ndugu wasapu 0718418387
 
1122182
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom