marnal inaandika Report inappropriate maanake insta wameiondoa hyo url ili isiweze kushare/kudownload sababu ipo ABUSING/SPAM.Numerator ahsante mkuu nimeweza lakini mbona video's nyingine nikiclick hapo kwenye URL sipati URL ZAKE??????badala yake inaandika REPORT INAPPROPRIATE........kwanini tafadhali??
nimepata kitu hapa
Ahsante sana mkuu
Je unawezaje kuzungushia mstar wa duara ama alama yoyote kama mfano wa kutaka kumuelekeza mtu kitu flani??Mfano wa swali langu ni huu hapa..angalia hii picha hapo chini 👇 👇 na iyo alama tafadhali
Ukifungua picha ingia kwenye EDIT -DRAWING - PEN tumia kidole kuchora sehemu unayotaka kama duara au X utaona. Angalia picha kama mfano