Wapendwa wangu..kuna Apps nyingi za kudownload video's Instagram..Natumia Android Phone..kuna Apps mbali mbali zilizopo Playstore
Nahitaji msaada kutoka kwenu wataalam wa Jukwaa hili@chief-mkwawa mwlRCT snipa secret-service Njunwa Wamavoko na wataalam wengine wengi
Shida yangu iko hapa naomba mnifahamishe namna ya kujua URL YA VIDEO UNAYOTAKA KUDOWNLOAD TAFADHALI..maana kila App nayoiload inaniambia copy and paste the URL OF THE VIDEO
Sasa nitajuaje URL ya video niliyoipenda Instagram na kutaka kudownload?
Cheki picha hapa chini tafadhali..kisha mnielekeze namna ya kucopy iyo URL kwenye videos za Instagram
Natumai nimeeleweka..Ahsanteni

Attachments
Last edited by a moderator: