Msaada wa kudownload nyimbo za picha

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wakubwa habari za mida hii
Tafadhali naombeni msaada wenu kwa wazoefu wa masuala haya kudownload nyimbo.Hapo awali niliipata youtube downloder ila haifanyi kazi vizuri inadownload robo tu ya wimbo.Ninatumia simu ya samsung GT S5830i(android)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom