Wamajanga
Senior Member
- Jun 24, 2014
- 133
- 47
Ndugu zanguni naombeni maelekezo,uwezo na sifa za HTC wildfire (kama nimelikosea jina utanirekebisha) maana inakataa kudownload application zaidi ya tatu pia tango inakataa kufanya kazi. Sijajua tatizo ni nini au natumia memory ndogo mana natumia 2GB ila kuna muda mwingine naziremove ktk memory ila bado inakatamemory