Msaada wa 'kubebwa' hostel Ustawi wa Jamii

Dah sipendi uandishi huu basi tu, ungekuwa mwanangu unakula bakora za kutosha
 
Una shida wewe mdada akikubeba atakuuza tu kwa udalali lakini mdume utakununua bila dalali cash yote yako.
Shida ikizidi ongeza neno wakaka tukuhifadhi uhifadhike mtoto wa kiarusha.
 
Njoo kwangu utaishi vzur tu ukiwa tayari sema nikupe no ya sim
 

Xaxa, Am xorry NDO NINi??[emoji15] usikute wewe ni kati ya wale member wa taifa jipya waliokamatwa majuz, mwanachuo huwez kuandika kama huna akili...
 
mh na atayekusaidia awe na moyo wa chuma maana hana namna si kwa nyodo hzo.
 
Kwanini wadada wengine mnapenda kulazimisha mambo?
Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Black Bat, Jan 3, 2015.

Watch Thread
Page 1 of 3
123

  1. Black BatJF-Expert Member
    #1
    Jan 3, 2015

    Joined: Oct 4, 2007
    Messages: 3,457

    Likes Received: 481

    Trophy Points: 180
    Stori yenyewe ni hivi. Nina my girlfriend wangu toka muda sana ananilazimisha na kuniomba tujaribu kinyume na maumbile , ila kiukweli mimi sitokuja kufanya hii kitu kwa sababu kwanza sidhani kama nitaridhika na kutokana na Mungu alivyonijalia mimi sio [HASHTAG]#teambamia[/HASHTAG] kwa hio obviously nitamuumiza mlengwa.

    Ila huyu msichana wangu haangalii hilo, sasa mimi nilishapanga kuwa mimi na yeye mwisho ni mwaka jana nikamwambia na yeye akakubali. Alikuwa na mtindo wa kuja kwangu kila jumamosi mida ya saa tano sita.

    Leo mimi nikaja na mzigo wangu (ambaye ni rafiki yake ) ndani tumelala na mlango sikufunga kwa sababu najiamini niliudishia tu.
    Kushangaa naona mlango unafunguliwa na anaingia huyu ex wangu ambaye tumeshapeana bye bye.

    Namuuliza umefuata nini?
    Anaondoka kimya kimya.

    Nimfanyeje huyu mdada na wakati tulishamalizana naye toka mwaka jana kutokana na hitaji lake ambalo mimi silitaki kulitimiza?
 
Kumbe Jamaa dume! Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…