MOLAM Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 141 Reaction score 20 Jan 8, 2017 #1 Nimatumaini yangu kuwa muwazima wa Afya njema Husika na kichwa cha habari hapojuu, mimi ni mtumiaji wa simu ya HUAWEI Y530,Androi v4.3 ambayo tayari nimesha ROOT, hivyo naombeni msaada wa jinsi yakuifanya ili iwe Android v5. Asantanteni.
Nimatumaini yangu kuwa muwazima wa Afya njema Husika na kichwa cha habari hapojuu, mimi ni mtumiaji wa simu ya HUAWEI Y530,Androi v4.3 ambayo tayari nimesha ROOT, hivyo naombeni msaada wa jinsi yakuifanya ili iwe Android v5. Asantanteni.
MOLAM Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 141 Reaction score 20 Jan 9, 2017 Thread starter #2 Msaada jamani
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,573 Reaction score 16,360 Jan 9, 2017 #4 je?, inasuport lollipop hiyo simu??? kama ndio just search for lollipop firmware for your phone and flash it
je?, inasuport lollipop hiyo simu??? kama ndio just search for lollipop firmware for your phone and flash it
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,573 Reaction score 16,360 Jan 9, 2017 #5 cc CHIEF MKWAWA
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,391 Jan 9, 2017 #6 mkuu hizo simu hazina updates official na ukipata rom ujue hata haitakuwa stable, hutaweza itumia
BANGO JEUPE JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 3,088 Reaction score 2,174 Jan 9, 2017 #7 Kuna faida gani ya kufanya hivyo? mi yangu ni tecno j8 boom OS: Android 5.1 Lollipop with HiOS U Wataalam mnaonaje hii? Bango
Kuna faida gani ya kufanya hivyo? mi yangu ni tecno j8 boom OS: Android 5.1 Lollipop with HiOS U Wataalam mnaonaje hii? Bango