Msaada wa Kubadilika

Msaada wa Kubadilika

Polonium210

Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
58
Reaction score
39
Kwa Muda Mrefu nimekuwa nikitumika kuua wale wote wenye mitizamo tofauti na Watawala wa Dunia. Nimeamua kuongoka naombeni Mniombee ili Badala ya Kutumika Kutoa Uhai wa Viumbo visivyo na Hatia basi nitumike Kutokomeza Wizi, Dhuluma, Ufisadi na Kila aina ya Ushenzi

Asanteni
 
Ukifanikiwa itakuwa vizuri.
 
Kama umeshatubu na umekiri kuwa uliyokuwa unafanya siyo sahihi nijambo la kumshukru mungu tunakukaribisha jf lkn usije ukawa na tabia kama ya kinyonga.
 
Mdau inaonekana ulikuwa na mtizamo mkali kama sumu ya jina lako.
Karibu ktk ID ingine ukifanikiwa mdau.
 
Kwa Muda Mrefu nimekuwa nikitumika kuua wale wote wenye mitizamo tofauti na Watawala wa Dunia. Nimeamua kuongoka naombeni Mniombee ili Badala ya Kutumika Kutoa Uhai wa Viumbo visivyo na Hatia basi nitumike Kutokomeza Wizi, Dhuluma, Ufisadi na Kila aina ya Ushenzi

Asanteni

Vp Mbona Mnamkaribisha Hy jamaa humu JF?! Wakati amesema ameamua "KUONGOKA" Manake ANATUDANGANYA na SISI..Au Mi ndo Sijamuelewa!?
 
"Kuua wenye mtizamo tofauti na watawala"? Duh! Sasa humu si ndo utaua wengi?
 
Kwa Muda Mrefu nimekuwa nikitumika kuua wale wote wenye mitizamo tofauti na Watawala wa Dunia. Nimeamua kuongoka naombeni Mniombee ili Badala ya Kutumika Kutoa Uhai wa Viumbo visivyo na Hatia basi nitumike Kutokomeza Wizi, Dhuluma, Ufisadi na Kila aina ya Ushenzi

Asanteni

Karibu sana mkuu. Nitakukumbuka katika sala zangu na nina hakika Mungu atakubadilisha kwa sababu yeye ndiye muweza vyote na hakuna kinachoshindikana kwake
 
Back
Top Bottom